Afisa elimu Msingi manispaa ya Musoma Mjini Bi
. Beatrice Mkina alibainisha mpango wake wa kuwezesha shule ya msingi Mwisenge kujengewa kiwanja cha michezo kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavua wa macho.
. Beatrice Mkina alibainisha mpango wake wa kuwezesha shule ya msingi Mwisenge kujengewa kiwanja cha michezo kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavua wa macho.
siku ya ijumaa 29/8/2014 afisa elimu huyo aliitembelea shule ya msingi Mwisenge kwa minajili ya walimu wa shule hiyo kumpendekezea eneo zuri la ujenzi wa kiwanja hicho cha michezo
| afisa elimu akiangalia eneo lililopendekezwa kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja cha michezo |
| afisa elimu katikati na baadhi ya walimu na wajumbe wa kamati ya shule |
| Afisa elimu kushoto na mjumbe wa kamati ya shule mwisenge |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni