mpango huo wa marafiki wa elimu umelenga kusaidia wanafunzi 25 vifaa vya shule kama madaftari,kalamu mabegi na sare za shule.
mpango huo utatekelezwa tarehe 15/04/2016
kwa mdau atakaeguswa na mpango huu anaweza kuwasiliana na marafiki wa elimu musoma kwa nambari 0755 650 075
![]() |
| katibu msaidizi wa marafiki wa elimu Kaseja january akisoma machapisho |
![]() |
| rafiki wa elimu Juma okumu pamoja na Godfrey Mjaya wakisoma machapisho kabla ya kikao kuanza |
![]() |
| mwenyekiti mpya wa mtandao wa marafiki wa elimu musoma Bi Perus masokomya |
![]() |
| rafiki elimu Daniel Richard akipokea michango ya marafiki |
![]() |
| Kaseja January akihakiki vifaa vilivyopatikana |
![]() |
| katibu wa marafiki wa elimu musoma Bi Rose Olimo |
![]() |
| mlezi wa mtandao wa marafiki wa elimu musoma thomas bega aliyesimama |
![]() |
| marafiki wakimsikiliza mwenyekiti wa mtandao |
![]() |
| mwenyekiti wa mtandao akizungumza na marafiki |









Hakuna maoni:
Chapisha Maoni