| Marafiki wakimsikiliza kwa makini mwalimu Byabato toka serengeti |
| Mwalimu Byabato rafiki toka wilaya ya serengeti akielezea juu ya dhana ya marafiki wa elimu ni nini! |
| Rafiki wa elimu Anastazia Richard akijitambulisha katika mkutano wa marafiki wa elimu |
| Rafiki wa elimu akichangia mada katika mkutano wa marafiki wa elimu musoma |
| marafiki wa elimu wakijadiliana katika makundi juu ya mbinu za kuboresha elimu |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni