Kuna wazazi (wakishirikiana na walimu) hurusha watoto wao madarasa (mfano anamaliza darasa la 3 anarushwa kuendelea na la 5)
- Je, unadhani ni kuna athari yoyote (kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzake au kisaikolojia)?
- Unadhani kuna faida kufanya hivi?
Jana nilipeleka kijana kufanya mtihani wa kuanza kidato cha kwanza,
wakati niko pale kukawa na akina mama wengine. Katika maongezi mama
mmoja akasema kaleta binti yake wa darasa la sita kufanya mtihani huo,
akifaulu anaruka la saba na kuanza kidato cha kwanza.
Na kuwa wakati, kuna mama mmoja tunafanya naye kazi alimrusha binti yake
toka darasa la tatu na kuingia la tano, maana yake hakusoma darasa la
nne kabisa.
Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.
- Unapomrusha mtoto darasa hakuna hasara yeyote? iwe kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzie na saikolijia nzima ya mtoto(Ukizingatia mchana na usiku anakula ugali-kuna sred niliona mtu kasema ugali unasababisha mtu awe kilaza)
- Kuna faida yeyote kurusha mtoto darasa?
souce. jamii forums
- Je, unadhani ni kuna athari yoyote (kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzake au kisaikolojia)?
- Unadhani kuna faida kufanya hivi?
Jana nilipeleka kijana kufanya mtihani wa kuanza kidato cha kwanza, wakati niko pale kukawa na akina mama wengine. Katika maongezi mama mmoja akasema kaleta binti yake wa darasa la sita kufanya mtihani huo, akifaulu anaruka la saba na kuanza kidato cha kwanza.
Na kuwa wakati, kuna mama mmoja tunafanya naye kazi alimrusha binti yake toka darasa la tatu na kuingia la tano, maana yake hakusoma darasa la nne kabisa.
Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.
souce. jamii forums
- Unapomrusha mtoto darasa hakuna hasara yeyote? iwe kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzie na saikolijia nzima ya mtoto(Ukizingatia mchana na usiku anakula ugali-kuna sred niliona mtu kasema ugali unasababisha mtu awe kilaza)
- Kuna faida yeyote kurusha mtoto darasa?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni